MADIWANI URAMBO WASHUSHA

Baraza la madiwani la halmashauri ya wilaya ya Urambo mkoani Tabora limeazimia kuwafukuza kazi watumishi wa afya wawili na wengine wawili kushushiwa mishahara baada ya kukutwa na hatia ya makosa mbalimbali. Mwenyekiti…

MAAMBUKIZI YA MALARIA KWA WATOTO

Kiwango cha maambukizi ya Malaria kwa mkoa wa Tabora kwa watoto wenye umri wa miezi 6 hadi 59 kimeongezeka kutoka 11.7% 2017/2018 hadi kufikia 23.4% mwaka 2022. Akisoma taarifa hiyo kwa kamati…

Mafuriko yamesomba makaburi

Mafuriko yamesomba makaburi katikati mwa jiji la GALKAYO nchini SOMALIA na kuacha miili ikielea mitaaniKulingana na Shirika la Utangazaji la UINGEREZA – BBC, mafuriko hayo ni mabaya zaidi kuwahi kushuhudiwa nchini SOMALIA…

HAMAS na ISRAEL

PALESTINA tunaarifiwa kuwa watoto 24 waliozaliwa kabla ya muda nchini PALESTINA kutokana na vita vya kundi la HAMAS na ISRAEL wamehamishwa kutoka hospitali ya AL SHIFA na kupelekwa eneo ambalo umeme unapatikana…

Wanigeria 170 wamerudishwa nyumbani 

Zaidi ya Wanigeria 170 waliokuwa kwenye ndege kuelekea SAUDI ARABIA wamerudishwa nyumbani baada ya mamlaka ya SAUDIA kuripotiwa kufutilia mbali viza zaoVyombo vya habari vya NIGERIA vimeripoti kuwa abiria 264 ambao walikuwa…

Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora

Mkuu wa mkoa wa Tabora amemuagiza kufika ofini kwake mkandarasi wa kampuni ya ujenzi ya Masasi Constraction anayesimamia ujenzi wa jengo la mama na mtoto katika hospitali ya rufaa ya mkoa Kitete…