Gallery

MADIWANI URAMBO WASHUSHA

Baraza la madiwani la halmashauri ya wilaya ya Urambo mkoani Tabora limeazimia kuwafukuza kazi watumishi wa afya wawili na wengine wawili kushushiwa mishahara baada ya kukutwa na hatia ya makosa mbalimbali. Mwenyekiti…

Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora

Mkuu wa mkoa wa Tabora amemuagiza kufika ofini kwake mkandarasi wa kampuni ya ujenzi ya Masasi Constraction anayesimamia ujenzi wa jengo la mama na mtoto katika hospitali ya rufaa ya mkoa Kitete…